TANZANIA HABARI
SERENGETI YASHINDA TUZO
Serngeti ilimeweza kupewa nyota nyingi na safaribookings.com kuwa bora Afrika safari park
hivyo kupelekea kuendelea kuwa na umaarufu wa hifadhi hiyo.Tuzo za kusafiri duniani WTA
(WORLD TRAVEL AWARDS) imeipa kula Serengeti ya Tanzania hifadhi ya taifa kuwa bora
inayoongoza mwaka 2019.Serengeti alifanikiwa kushinda tuzo la World Travel Awards huko
Mauritius.

Comments
Post a Comment