HOME
TANZANIA HABARI
Habari moto moto kutoka kila kona ya Tanzania yenye mikoa 26 kutoka Tanzania bara(TANGANYIKA)
niDodoma,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Morogoro,Pwani,Daressalaam,Lindi,Mtwara,Ruvuma,Iringa,Mbeya,Singida,Tabora,Rukwa,Kigoma,Shinyanga,Kagera,Mwanza,Mara,Manyara,Njombe,Katavi,Simiyu,Geita,Songwe.
Pia Tanzania visiwani(ZANZIBAR) ina mikoa 5 ambayo ni Unguja kaskazini,Unguja kusini,Unguja mjini magharibi,Pemba kaskazini na Pemba kusini.Pata habari za visa,kiuchumi,siasa,burudani,tamaduni,sanaa,mitindo na mengineyo.
WANAHARAKATI
kijamii,kiutamaduni.Tutaweza kuangazia wanaharakati katika njia mbalimbali kukujuza ugwiji wao katika
mambo yalioyo weza kuleta mabadiliko na kuwapa watu mwanga kuhusu umuhimu wao katika kila sekta.
NUKUU ZA VIONGOZI
Hata hivyo wengi wao wamekwisha hawapo nasi duniani,wengine wapo na wengine kuzaliwa
Hivyo kupitia nukuu zao tunaweza pata kuwaenzi na kuwakumbuka maneno yao ya hekima.
HISTORIA YA KALE
Kile siku,dakika,sekunde,mwaka na misimu nchi,watu na ulimwengu hutengeneza historia
katika nyanja mbalimbali kama za kisasa,uchumi, na kijamii.
Historia ya kale itaangazia kuinuka na kuanguka kwa nchi,taifa,himaya na falme
na kwa namna gani zilivyoacha historia isiyosaulika.




Comments
Post a Comment